Ni Jambo Lenye Maumivu Lakini Huna Budi Kulifanya Ili Upate Fedha Zaidi…..Ni Jambo Lenye Maumivu Lakini Huna Budi Kulifanya Ili Upate Fedha Zaidi…..

Moja ya nguvu za mvutano alizonazo mwanadamu na vitu, ni kati ya yeye na fedha zake. Hivyo moja ya kitu ambacho mtu hapendi kukitoa kirahisi ni fedha zake. Hii imeenda mbali zaidi; mtu hataki hata kutoa fedha ili imuzalishie zaidi. Kwa sababu ya kung’ang’ania kukaa na fedha bila kuzitoa, ndipo [...]

Hii Ndiyo Njia Pekee Ya Kuishinda Hofu Iliyosimama Kabla Ya Mafanikio Yako….Hii Ndiyo Njia Pekee Ya Kuishinda Hofu Iliyosimama Kabla Ya Mafanikio Yako….

Kama kuna kitu kimoja kimekukwamisha kufika ulikotakiwa kuwa sasa basi ni hofu. Kama kuna hofu kubwa ambayo imekuwa kikwazo kwako kufikia mafanikio makubwa unayostahili basu ni hofu ya kushindwa. [  ] Hujaweka malengo makubwa mwaka huu ukihofia utashindwa. [  ] Hujaanzisha biashara ukihofia utapata hasara. [  ] Hujawafikia watu waliokuzidi [...]

Kama Huna Uhakika Na Unakoelekea Basi Fanya Hivi Kabla Hujaongeza Kasi….Kama Huna Uhakika Na Unakoelekea Basi Fanya Hivi Kabla Hujaongeza Kasi….

Kama hujui unakoelekeo basi kila njia itakuwa ni sahihi kwako. Lakini kama umeshapotea basi kuongeza kasi ni kujihakikishia kuzidi kupotea. Kuna umuhimu mkubwa wa kujua unakoelekea katika maisha yako. Kuna umuhimu wa kuja unakoelekea mwaka 2024. Kuna umuhimu wa kujua unakoelekea kila siku unapoamka. [  ] Kama hujui mwaka 2024 [...]

Hivi Ndivyo Umejihakikishia Kushindwa.Hivi Ndivyo Umejihakikishia Kushindwa.

Je na wewe umekuwa ukisema miongoni mwa kauli hizi? [  ] Siwezi kufanya biashara na ukapata faida. [  ] Mh mimi siyo wa kufanya mambo makubwa. [  ] Huyu hawezi kuwa mteja…..naachana naye. [  ] Hata nikimuambia atakataa….ngoja niache tu. [  ] Siwezi kuanzisha biashara nikiwa kwenye ajira. Haitafanikiwa…. [  [...]

Haya Ndiyo Makosa Yaliyokukukwamisha Mwaka 2023 Ambayo Umeshaanza Kuyafanya Na Mwaka 2024….Haya Ndiyo Makosa Yaliyokukukwamisha Mwaka 2023 Ambayo Umeshaanza Kuyafanya Na Mwaka 2024….

Mwaka 2023 uliweka malengo bila kuandika kisha ukayasahau….hata mwaka huu hujayaandika…anza kuandika malengo yako mara kwa mara. Mwaka 2023 ulisema unataanzisha biashara lakini ukaahirisha mpaka mwaka ulipoisha….mwaka huu usiahirishe anza hata kwa udogo unaoweza. Mwaka 2023 ulisema utaweka jitihada za kuwafikia wateja wengi zaidi ili kukuza biashara, hukufanya hivyo……usirudie tena [...]

Hiki Ndicho Cha Kubadili Ili Kupata Matokeo Ya Tofauti.Hiki Ndicho Cha Kubadili Ili Kupata Matokeo Ya Tofauti.

“Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo” Mithali 23: 7a. Kile ulichokiamini na kukifanya ndicho kilichokupa matokeo uliyonayo sasa. Ulichokiamini na kukiweka kwenye matendo ndicho kilichoumbika ndani yako. [  ] Huwezi ukaumba udhaifu ndani yako kisha ukapata uimara nje. [  ] Huwezi ukaumba umasikini ndani kisha ukapata utajiri nje. [  ] [...]

Hivi Ndivyo Simba Anavyokufundisha Kupata Chochote Unachokitaka. Jifunze Sasa…Hivi Ndivyo Simba Anavyokufundisha Kupata Chochote Unachokitaka. Jifunze Sasa…

Ungelinganisha kwa ukubwa wa umbo, simba amezidiwa na wanyama wengi tu. Lakini bado simba ni mfalme wa mwituni na anaweza kula mnyama yoyote yule. Ungelinganisha kimo, simba ni mfupi kuliko wanyama wengi tu unaowafahamu. Lakini bado ana uwezo wa kula wanyama wote wafupi na warefu. Kama ukilinganisha akili, kuna wanyama [...]

Fahamu Wakati Sahihi Wa Kutengeneza Faida Kwenye Biashara Yako.Fahamu Wakati Sahihi Wa Kutengeneza Faida Kwenye Biashara Yako.

Kama unasema una biashara halafu haitengenezi faida, basi tambua huna biashara. Mhimili mkuu wa biashara yoyote ile ni FAIDA na si vinginevyo. Je wakati sahihi wa kutengeneza faida ni upi? Je ni wakati wa mauzo? Je ni wakati wa matumizi? …. Wakati sahihi wa kutengeneza faida ya biashara yako ni [...]