Kama Hujafanya Kitu Hiki Kwenye Malengo Yako, Basi Tambua Kuwa Huna Malengo.  Lakini Unaweza Kukifanya Sasa…..Kama Hujafanya Kitu Hiki Kwenye Malengo Yako, Basi Tambua Kuwa Huna Malengo.  Lakini Unaweza Kukifanya Sasa…..

Hongera kwa kuwa na shauku ya kufanya makubwa mwaka 2024. Hongera kwa kutambua kuwa mwakajana hukufanya vizuri na hivyo una nafasi ha kufanya vizuri mwaka huu. Hongera kwa malengo uliyonayo mwaka 2024. Je umeyaandika malengo yako? Moja ya kigezo cha wewe kuweza kulitimiza lengo lako, ni lengo hilo kuwa wazi [...]

Zifahamu Njia Tano Za Kupata Wazo La Biashara Sahihi Kwako.  Hizi Mbili Ni Muhimu Zaidi..Zifahamu Njia Tano Za Kupata Wazo La Biashara Sahihi Kwako.  Hizi Mbili Ni Muhimu Zaidi..

Biashara nyingi hufa kwa sababu ya kutozingatia hatua muhimu ya kwanza ya kaunzisha biashara. Hatua hiyo muhimu ni kupata wazo sahihi la biashara yako. Wazo la biashara yako lazima liguse maumivu au matamanio waliyonayo wateja wako. Watu kuanzisha biashara kisha kuanza kutafuta wateja.  Ndipo huja kugundua kuwa watu wachache sana [...]

Kama Unataka Utoke Mwaka 2024 Hakikisha Unakifanya Hiki.Kama Unataka Utoke Mwaka 2024 Hakikisha Unakifanya Hiki.

“Kifaranga hufanikiwa kukua kisha kutoka  nje ya ganda la yai kwa sababu ya kubaki hai” Kama kifaranga kitakufa kingali kipo ndani ya yai, basi hakitaweza kutoka nje. Lengo lako kuu la mwaka 2024 litakutana na changamoto  nyingi sana. Utakutana na vikwazo vingi vitakavyotaka kuua matarajio uliyonayo. Kuna namna moja tu [...]

Tambua Na Ishi  Siri Hii Ya Kufikia Mafanikio Yako Makubwa.Tambua Na Ishi  Siri Hii Ya Kufikia Mafanikio Yako Makubwa.

Kama kuna mtu amekuambia kuwa waliofanikiwa hawashindwi basi  amekudanganya. Ukweli ni kuwa waliofanikiwa ndiyo waliojaribu na kushindwa mara nyingi kuliko walioshindwa. Siri kubwa ya waliofanikiwa kushinda kwao imejificha kwenye ukweli kuwa waliofanikiwa hawaachi kuendelea kuchukua hatua hata baada ya kushindwa kwao. Naamini na wewe kuna kitu kimoja kikubwa unatamani kukipata [...]

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kulitimiza Lengo Lako Kubwa la Mwaka 2024.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kulitimiza Lengo Lako Kubwa la Mwaka 2024.

Je umekuwa ukiweka malengo madogo huku ukiyakimbia makubwa kwa kuona huwezi kuyafikia? Je mwaka 2024 una lengo kubwa kiasi cha kupata wasiwasi kama kweli utaweza kulitimiza? Usiwe na wasiwasi. Ukitaka kumla ng’ombe usipeleke mdomo wako na kuaanza kumng’ata angali mzima. Badala yake mkate kwenye vipande vidogo vidogo. Una uwezo mkubwa [...]

Jinsi Unavyokuwa Chuma Ulete Wa Biashara(Fedha) Yako. Fanya Hivi Kulinda Fedha Zako….Jinsi Unavyokuwa Chuma Ulete Wa Biashara(Fedha) Yako. Fanya Hivi Kulinda Fedha Zako….

Je kila ukipata fedha baada ya muda mfupi tu huzioni  fedha hizo na unahisi kuna chuma ulete anachukua fedha zako kiuchawi? Je una biashara na unafanya mauzo lakini fedha huzioni kiasi cha biashara kubaki palepale au ndiyo kuanza kufa? Kama haya yanatokea maishani mwako, naamini utakuwa tayari umeanza kumatafuta au [...]

Kitu Pekee Kinachoweza Kukusaidia Kuchukua Hatua Ngumu Za Kukupa Mafanikio Mkubwa…Kitu Pekee Kinachoweza Kukusaidia Kuchukua Hatua Ngumu Za Kukupa Mafanikio Mkubwa…

Hakuna mafanikio makubwa bila kupitia hatua ngumu. Changamoto kubwa zinaposimama mbele yako ndipo wewe huamua kuwa ukipate kile unachokitaka au la! Kama kuna watu hawajapata vile walivyosema wanavitaka na sasa huoni jitihada zozote basi tambua kuwa changamoto zimewawashinda. Kadhalika kama kuna kitu ulipanga kukipata lakini hujapata na umeacha kuchukua hatua [...]