Wafahamu Maadui Hawa Sita Watakaokula Muda Wako Kisha Kukufelisha Mwaka 2024…Wafahamu Maadui Hawa Sita Watakaokula Muda Wako Kisha Kukufelisha Mwaka 2024…

Kama kuna rasilimali muhimu sana ya kukufanya ufanikiwe mwaka 2024 basi ni muda. Lakini kuna maadui sita waliojipanga kuhakikisha wanaiba muda wako. Wafahamu leo ili ufanikiwe kuwathibiti wasikukwamishe.. 1. Kuahirisha….Jisukume kuchukua hatua kila unapopanga, kuahirisha ni kutakupotezea muda na kuchelewesha maendeleo yako. 2. TV, Simu & Mitandao ya kijamii.Hivi ni [...]

Kama Na Wewe Unajiuliza ‘Sijui Nianzie Wapi?’ Basi Hapa Ndiyo Pa Kuanzia…Kama Na Wewe Unajiuliza ‘Sijui Nianzie Wapi?’ Basi Hapa Ndiyo Pa Kuanzia…

Kinachokuza Yai kuwa kifaranga si ganda lake bale kiini kilichopo ndani yake. Kadhalika Kinachoweza kuongeza kasi ya gari si bodi yake bali injini iliyopo ndani yake. Hivyo wakati wote sehemu sahihi ya kuanzia kufanya mabadiliko sahihi katika maisha yako ni ndani mwako. Ukuuaji au udumavu kwenye maisha yako umeanzia ndani [...]

Kiungo Pekee Unachohitaji Ili Kutimiza Malengo Yako Mwaka 2024.Kiungo Pekee Unachohitaji Ili Kutimiza Malengo Yako Mwaka 2024.

Je mwaka wako 2023 unaisha huku ukiwa umeinamisha kichwa chini kwa kutotimiza malengo yako mengi? Je mwaka 2023 unaisha ukiwa na maumivu makali ya kipato chako duni? Je mwaka 2023 unaisha ukiwa hujaweka akiba yoyote? Je mwaka 2023 unaisha ukiwa umeahirisha mambo mengi muhimu ambayo yangekupa mafanikio makubwa? Ukweli ni [...]

Huyu Ndiye Adui Mkuu Aliyezuia Mafanikio Yako Kwa Muda Mrefu. Usikubali Kuendelea Kuwa Mnyonge Kwake…Huyu Ndiye Adui Mkuu Aliyezuia Mafanikio Yako Kwa Muda Mrefu. Usikubali Kuendelea Kuwa Mnyonge Kwake…

Kuna adui mmoja ambaye ameua ndoto kubwa ulizokuwanazo. Adui huyo amekufanya kushindwa kutimiza malengo uliyojiwekea mwaka huu. Adui huyo anakufanya usijaribu vitu vipya ambavyo vingekufanya ukue. Adui huyo anakufanya usianzishe biashara akikwambia utapoteza fedha yako. Adui huyo anakufanya usikutane na watu wakubwa na muhimu ambao wangekufanya upige hatua. Adui huyo [...]

Mafanikio Yako Makubwa Yapo Mbele Tu Ya Kitu Hiki…..Unaweza Kuanza Kuyasogelea Mafanikio Yako Hata Sasa.Mafanikio Yako Makubwa Yapo Mbele Tu Ya Kitu Hiki…..Unaweza Kuanza Kuyasogelea Mafanikio Yako Hata Sasa.

]Mafanikio yako makubwa yapo mbele ya hofu ya kushindwa uliyonayo. ]Mafanikio yako makubwa yapo mbele ya hofu ya kukataliwa uliyonayo. ]Mafanikio yako makubwa yapo mbele ya hofu kuwa watu wakutafisiri vibaya kwa utofauti utakaouonyesha ]Mafanikio yako makubwa yapo mbele ya hofu ya kushindwa. ]Mafanikio yako makubwa yapo mbele ya hofu [...]

Hivi Ndivyo Unavyochimba Kaburi La Kuzika Ndoto Zako. Okoa Uhai Wa Ndoto Zako Sasa…Hivi Ndivyo Unavyochimba Kaburi La Kuzika Ndoto Zako. Okoa Uhai Wa Ndoto Zako Sasa…

Kwa nini hakuna dalili yoyote ya kutimiza ndoto za maisha yako ambazo zingekupa thamani kubwa ya uwepo hapa duniani? Kwa nini umekuwa ukiweka malengo yaleyale miaka nenda miaka rudi bila kuyatimiza? Kwa nini kila ukipanga kufanya kitu umekuwa ukiahirisha kabla aua muda mfupi tu baada ya kuanza kufanya? Kwa nini [...]

Hii Ndiyo Siri Kuu Wanayotumia Mashujaa Kushinda. Anza Kuitumia Leo Kuwa Shujaa Wa Maisha Yako.Hii Ndiyo Siri Kuu Wanayotumia Mashujaa Kushinda. Anza Kuitumia Leo Kuwa Shujaa Wa Maisha Yako.

Unapoambiwa huyu mtu ni shuajaa picha ya haraka inayokuja akilini  mwako ni kumuona mtu huyo alikuwa kwenye vita na ameshinda vita. [  ] Alikutana ana adui akamshinda.[  ] Alikutana na mazingira ya kuogofya lakini akasonga mbele, hakurudi nyuma.[  ] Wengine walipomwambia arudi nyuma alikataa na kusonga mbele.[  ] Hata pale [...]