Hiki Ndicho Kimekuwa Kinakuzuia Usipate Unachostahili. Ifahamu Njia Ya Uhakika Ya Kukusaidia Kutoka Hapo…Hiki Ndicho Kimekuwa Kinakuzuia Usipate Unachostahili. Ifahamu Njia Ya Uhakika Ya Kukusaidia Kutoka Hapo…

Kipato unchokipata sicho unachostahili, ndiyo maana huridhiki nacho. Kasi ya mafanikio siyo unayostahili, ndiyo maana umeachwa mbali sana na mahitaji ya fedha. Hali ya biashara yako siyo unayostahili, ndiyo maana ni kama ipo kwenye chumba cha wagonjwa mahututi(ICU). Malengo yako uliyonayo siyo unayostahili ndiyo maana huamushi nguvu kubwa ndani yako [...]

Je Na Wewe  Utakuwa Miongoni Mwa Watu Wataokuwa Wanajuta Kwa Sababu Hawakufanya Hivi….?Je Na Wewe  Utakuwa Miongoni Mwa Watu Wataokuwa Wanajuta Kwa Sababu Hawakufanya Hivi….?

 Mark Twain alisema “Twenty years from now you will be more disappointed by the things you didnot do than by the ones you did” ikiwa na tafsiri kuwa miaka ishirini kutoka sasa utakuwa utahuzunishwa na vitu ambavyo hukufanya kuliko vile ulivyofanya. Kabla hujafikiri miaka 20 ijayo, fikiri miaka 20 iliyopita; [...]

Kutana Na Mtu Huyu Aliyekukwamisha Kuwa Wewe Halisi. Mwambie Leo Aachane Na Maisha Yako.Kutana Na Mtu Huyu Aliyekukwamisha Kuwa Wewe Halisi. Mwambie Leo Aachane Na Maisha Yako.

Kuna mafanikio umekuwa ukiyatamani au ulitakiwa kuwa nayo, lakini hujayapata kwa sababu kuna mtu amekuwa akikukwamisha. Huyu ni mtu unayetakiwa kumpinga  na kutokuwa na urafiki naye kwa sababu ndiye aliyekufanya kuwa na hali uliyonayo sasa. Mtu huyu amesababisha mambo haya maishani mwako; [  ] Ulipokuwa unaweka malengo ndiye aliyekuambia wewe [...]

Kumbukumbu Tano Zinazokimbiza Chumaulete Kwenye Biashara Yako Kisha Kuanza Kuiona Faida Kwenye Biashara Yako.Kumbukumbu Tano Zinazokimbiza Chumaulete Kwenye Biashara Yako Kisha Kuanza Kuiona Faida Kwenye Biashara Yako.

Je umefanya biashara yako kwa muda mrefu lakini huoni ikikua kiasi cha kuamini kuna chumaulete kwenye biashara yako? Je unahisi unafanya mauzo makubwa lakini ukitoa fedha kwenye biashara yako, biashara yako inatetereka? Hapo kuna uwezekano mkubwa wa kuwa na chumaulete kwenye biashara yako. Na usipomthibiti mapema biashara yako itakufa kama [...]

Mtambue Mfalme Mkuu Wa Biashara YakoMtambue Mfalme Mkuu Wa Biashara Yako

Kuna kitu kimoja ambacho kisipokuwepo kwenye biashara yako, biashara yako haitaweza kustahimili na hivyo kufa mapema tu. Fedha ndiyo mfalme kwenye biashara yako, isipokuwepo, ni sawa na binadamu ambaye mzunguko wa damu mwilini mwake umesimama. Binadamu huyo hataweza kuishi, atakufa tu. Hakikisha kila wakati baishara yako inatengeneza faida kwa fedha [...]

Jinasue Kwenye Mitego Hii Mitano Ili Kutengeneza Toleo Lako Bora Kuwahi Kutokea.Jinasue Kwenye Mitego Hii Mitano Ili Kutengeneza Toleo Lako Bora Kuwahi Kutokea.

Nataka kuwa na maisha bora! Hili limekuwa ni tamanio la watu wengi ambalo halitimii. Kwa sababu ya tamanio hili kutotimia kwa watu wengi,  umefika wakati umejifariji kwa kuona kuwa maisha bora ni kwa ajili ya watu fulani wachache tu. Kuwa na maisha bora na kuwa mtu yule uliyetarajiwa kuwa na [...]

Fanya Hivi Ili Mteja Wako Aendelee Kununua.Fanya Hivi Ili Mteja Wako Aendelee Kununua.

Hii ni hasara mojawapo umekuwa ukiitengeneza kwenye biashara yako.Inawezekana umekuwa ukiitengeneza hasara hii bila kujua. Biashara yako itauza sana kisha kukua kama mteja anayenunua mara ya kwanza anarudi kununua tena na kuendelea kununua katika kipindi chake chote uhitaji wake. Sababu kubwa itakayomfanya mteja aendelee kununua kwenye biashara yako ni UBORA [...]

Kumbe Huo Sio Mwisho Wako!Kumbe Huo Sio Mwisho Wako!

Mtafiti mmoja kutoka Chuo Kikuuu cha Harvard alifanya jaribio kujua ni kwa muda gani panya anaweza kuogelea na kustahimili bila kufa? Ilikuwa inafahamika kuwa kwa kawaida panya huchukua dakika 15 kujitahidi kujiokoa kwenye maji kabla hajachoka na kufa. Kwenye jaribio hili aliamua kufanya kwa utofauti kidogo. Alichukua panya kadhaa kisha [...]

Tengeneza Funguo Hizi Nne Kufungua Mafanikio Yako.Tengeneza Funguo Hizi Nne Kufungua Mafanikio Yako.

Je umekuwa ukiyaota mafanikio makubwa kwa miaka mingi lakini imeendelea kuwa ndoto ya mchana tu? Je umejaribisha njia nyingi kuyapata mafanikio hayo lakini bado hujapata kile unachokitamani? Usiwe na wasiwasi, kwa sababu ungali hai, tengeneza funguo hizi nne ili kufungulia mafanikio makubwa kwenye maisha yako. 1. Fanya kazi. Kazi ni [...]