Wewe Anza Tu!Wewe Anza Tu!
Anza Leo….ni kauli ambayo nimekuwa nikiiandika mwanzo mwa dondoo ambazo naziandika kila siku. Kauli hii nimekuwa nikiiandika baada ya kuona kuwa kitu kinachowatatiza watu wengi kutochukua hatua kisha kupata kile wanachokitaka ni kutovuka hatua ya kuanza. Mtu anakuwa tayri ana malengo na mpango lakini haanzi. Mtu anakuwa na mtaji lakini [...]
Tumia Mbinu Hizi 6 Kukabiliana Na Mdudu Huyu Anayezuia Mafanikio Yako .Tumia Mbinu Hizi 6 Kukabiliana Na Mdudu Huyu Anayezuia Mafanikio Yako .
Kil mtu anatamani kupata mafanikio tene yale makubwa. Kama kuweka malengo kwa ajili ya kuyafikia mafanikio hayo wengi wameyaweka. Lakini ukiuliza ni wangapi wameyapata mafanikio hayo, ni wachache sana. Watu wana malengo mikononi. Lakini wanaendelea kubakia nayo bila ya kufanyia kazi. Moja ya kikwazo kikubwa cha watu kutofanyia kazi malengo [...]