Vua Kinyago Chako Ujione Wewe Halisi.Vua Kinyago Chako Ujione Wewe Halisi.

Gogo au jiwe ambalo umekuwa ukilipita kila siku litakuwa kinyago kinachopendeza, chenye thamani na kitakachokushangaza baada ya mchongaji kutoa maganda yaliyokuwa yanakizuia. Mtu akivaa kinyago hubadilika sura kabisa na kuwa kitu kingine. Watu wamekuwa wakivaa vinyago na kuficha uhalisia wao . Hii ni kwa nia njema au mbaya. Habari mbaya [...]

Kutikiswa Ndiyo Kukaa Sawa .Kutikiswa Ndiyo Kukaa Sawa .

Baada ya kuweka mahindi kwenye gunia, hutikiswa kwa kulizungusha gunia na mzigo wake kushoto na kulia huku likinyanyliwa juu kidogo. Kitendo hicho hufanya punje za mahindi kukujipanga vizuri. Lakini kuna nafasi juu ya gunia hupatikana baada ya kutikisa. Hii hutoa fursa ya kuongeza mahindi mengine kwenye gunia hilo. Mitikisiko pia [...]

Mheshimu Huyu Ukutane Na Mafanikio Yako.Mheshimu Huyu Ukutane Na Mafanikio Yako.

Kwa sababu ya kiu kubwa ya kupata mafanikio, watu wametamani kupata matokeo wanayoyataka muda ya muda mfupi sana. Kama ungekuwa unalinganisha na njaa ya chakula, watu wanatamani wapakue chakula na kula hata kabla hakijaiva. MUDA ni kigezo kikubwa cha wewe kupata kile unachokita. Hata kama una haraka kiasi gani, ili [...]

Unateseka Bure…Unachokihofia hakipo !Unateseka Bure…Unachokihofia hakipo !

Mtu alikuwa anapita kwa woga usiku kwenye njia aliyopita mchana, ghafla taa ikawashwa kwenye nyumba ya karibu na kulikuwa hakuna kitu cha hatari kilichokuwepo. Akajiuliza moyoni nilikuwa naogopa nini? Baada ya kuambiwa mto anaokwenda kuvuka kesho una mamba, hakulala usingizi huku akiwaza atavuka vipi. Alipofika kwenye mto huo akaona kuna [...]

Jisukume Kuanzishaa Biashara Sasa.Jisukume Kuanzishaa Biashara Sasa.

UWEZO NA BIASHARA- 2 Jisukume Kuanzishaa Biashara Sasa. Moja ya changamoto kubwa ya kujenga na kuikuza biashara ni kuanza. Watu wengi wamekuwa na nia ya kufanya biashara.  Lakini ni muda mrefu sana tangu walipoongea na kupanga hivyo. Miongoni mwa sababu kubwa iliyokufanga usianzishe biashara ni kuona kuwa hujawa tayari; ndiyo [...]

Mambo Matano Ya kukupa Uthibiti Kamili Wa Maisha Yako.Mambo Matano Ya kukupa Uthibiti Kamili Wa Maisha Yako.

Ni raha iliyoje kama utafanikiwa kuchukua uthibiti kamili wa maisha yako! Pata picha hakuna kitu kinachokusumbua maishani mwako. Naamini utajisikia vizuri ukifikia hali hii. Habari njema ni kuwa kuna uwezekano wa kufikia hali hii kama utafanikiwa kufanya au kuyapata mambo matano muhimu.  Mambo haya yamefupishwa na kuwa 5M. 1M ( [...]