Je Fedha Unazozipata Sasa Zitakutumikia Uzeeni?Je Fedha Unazozipata Sasa Zitakutumikia Uzeeni?

Kama kila fedha itakayotua mikononi mwako utaitumia yote bila ya kuweka akiba na kuwekeza, basi kuwa na uhakika kuwa utalazimika kufanya kazi maisha yako yote ili kupata fedha za kumudu hata mahitaji muhimu. Kama kuna changamoto kubwa watu wengi wanaipata, ni kufika uzeeni angali nguvu zimepungua halafu ukalazimika kufanya kazi [...]

Maadui Ni Wengi Sana Mbele Ya Malengo Yako,  Unahitaji Kitu Hiki Ili Kushinda ..Maadui Ni Wengi Sana Mbele Ya Malengo Yako,  Unahitaji Kitu Hiki Ili Kushinda ..

Kama kuweka malengo bora tu ingekuwa ndiyo tiketi pekee ya kufanikiwa basi karibu kila mtu angekuwa amefanikiwa maishani mwake…. Lakini kuna vikwazo vingi sana vitaibuka mara tu utakapoanza ua kufikiria kuanza kutimiza malengo yako… Ni wachache tu hufanikiwa kupenya vikwazo hivyo kisha kufanikiwa kutimiza malengo yao… Watu hawa huwa na [...]

Hakuna “Expiry Date” Ya Ndoto Zako.Hakuna “Expiry Date” Ya Ndoto Zako.

Umebeba ndoto kubwa umebeba maisha yako. Vitu vikubwa havitokei kirahisi unahitaji kuvumilia. Magumu yatatokea lakini yasikatishe ndoto yako. Utahitaji nguvu ya ziada kutimiza ndoto yako,  hivyo usibaki kwenye mazoea(comfort zone). Kama hujafa ndoto yako haijafa. Hata kama watu watataka kuiua ndoto yako, shauku yako ndiyo maji ya kuipa ndoto yako [...]

Shauku 5 Zilizobeba Kusudi La Maisha YakoShauku 5 Zilizobeba Kusudi La Maisha Yako

Rafiki! Kama kuna kitu kimoja unachotakiwa kwa namna yoyote ukitambue na kukiishi, basi ni kusudi la maisha yako. Kusudi la maisha yako ndiyo sababu ya wewe kuletwa hapa duniani, mengine ni ziada tu. Kati ya hasara ambayo mwanadamu huitengeneza, ni kuishi hapa duniani tena kwa muda mrefu lakini bila ya [...]

Je Unataka Kujenga Utajiri? Basi Jifunze Kwa Huyu Mkulima Makini. Wakati nikiwa bado mdogo kuna kitu ambacho nilikuwa nakiona wakifanya wazazi ambacho sasa natambua kuwa kumbe walikuwa wakiishi kanuni hii muhimu ya fedha. Baada ya kuvuna tu mahindi, kabla hawajayapukuchua, walikuwa wanachagua mahindi ambayo yamekomaa vizuri, yenye punje kubwa na [...]

Ukuu Wako Upo Kwenye Upekee Wako!Ukuu Wako Upo Kwenye Upekee Wako!

Huwezi kuwa wa kipekee kwa kuiga  wanachokifanya wengine. Huwezi kufanya maajabu kwa kufanya vitu vya kawaida. Huwezi kuacha kufanya vitu vya kipekee kama hutatambua uwezo wako wa pekee na kuuamsha. Uwezo wako wa pekee upo kwenye vitu unavyopenda kuvifanya na ukivifanya unapata matokeo ya upekee kiasi cha kuwashangaza wanaokuoga. Je [...]

Usife Kabla Hujatambua Kitu Hiki…Usife Kabla Hujatambua Kitu Hiki…

Kila mwanadamu aliletwa hapa duniani kwa kusudi maalumu. [  ] Ndani ya kusudi lako ndiko kuna ukuu wako.[  ] Ndani ya kusudi  lako ndiko kuna mafanikio yako kamili.[  ] Ndani ya kusudi lako ndiko kuna furaha yako kamili.[  ] Ndani ya kusudi lako ndiko kuna uamusho wa uwezo wako wa [...]

Fedha Zilizochakaza Pochi Yako Ziko Wapi?Fedha Zilizochakaza Pochi Yako Ziko Wapi?

Kama pochi yako imechakaa ni ishara kuwa kuna fedha nyingi zimekuwa zikiingia humo. Swali muhimu la kujiuliza ni wapi umezipeleka fedha hizo? Kama kuna fedha nyingi ziliingia kwenye pochi yako na kuichakaza lakini hakuna fedha yoyote uliyobakia nayo, basi huu ni ushahidi tosha kuwa kila fedha iliyopita mikononi mwako,  uliitumia [...]

Siri Ya Kuacha Kujidharau Kisha Kuanza Kufanya Makubwa…..Siri Ya Kuacha Kujidharau Kisha Kuanza Kufanya Makubwa…..

Kuna watu zaidi ya bilioni nane duniani lakini kuna WEWE mmoja tu. Kuna mtu kafanana sasa na wewe kwa nje lakini WEWE wa ndani yako hafanani na yoyote. Unaweza kukimbia vitu vyote lakini sio kivuli chako. Wanaweza kuona vyote vilivyo nje yako lakini siyo kile unachokiumba ndani yako. Watu wanaweza [...]