Ulizaliwa Kama Muujiza, Umepotezea Wapi Ukuu Huo?Ulizaliwa Kama Muujiza, Umepotezea Wapi Ukuu Huo?

Ulizaliwali na kupewa majina mazuri ya kila aina. Wapo waliokuita malaika, wapo waliokuita muujiza, wapo waliokuita shujaa, wapo wliokuona kama Rais. Umepotezea wapi umaarufu huo? Ulipokuwa mototo watu walikuuliza unataka kuwa nani ukiwa mkubwa? Wewe uliwajibu kwa uhakika kabisa kulingana na kile ulichokuwa unakisikia ndani yako. Nataka kuwa rubani, nataka [...]

Kamwe Usishindwe Kabla Hujafanya.Kamwe Usishindwe Kabla Hujafanya.

Kuna matokeo ya utofauti ambayo ungekuwa umeyapata tofauti na uliyonayo sasa kama ungekuwa umefanya. [ ] Naogopa kuanzisha biashara kwa sababu naweza kukosa soko [ ] Nasita kuanzisha biashara kwa sababu naweza kupata hasara [ ] Siwezi kwenda kumuomba msaada mtu huyo kwa sababu nafikiri atanikatalia [ ] Naona kama [...]

Zingatia Mambo Haya Sita(6) Kuboresha Maisha Yako.Zingatia Mambo Haya Sita(6) Kuboresha Maisha Yako.

Je ungependa uishi kikamilifu katika uhai wako? Leo jifunze mambo sita ambayo ukiyazingatia maisha yako yataongezeka thamani. 1. Kabla hujaomba amini. Dunia ipo tayari kukupa chochote unachokitaka. Dunia inakuhitaji uombe unachokitaka. Unataka utajiri omba! Unahitaji furaha omba! Unahitaji utoshelevu omba. Lakini kabla hujaomba, tanguliza imani. Ndani yako lazima kuwe na [...]

Je Hicho Ndicho Unachokihitaji Zaidi Maishani Mwako?Je Hicho Ndicho Unachokihitaji Zaidi Maishani Mwako?

Uliposikia maneno haya ‘’unachokihitaji zaidi maishani mwako’’ kuna kitu kilikuja kwenye fikra zako kuwa hiki ndicho ninachokihitaji. Watu wengi wana vitu fulani ndani yao ambavyo wangetamani kuvipata au kuvikamilisha kabla hawajaondoka katika dunia hii.·       Wapo ambao wangependa waishi maisha fulani ambayo wanahisi wangefikia kilele cha furaha maishani mwao.·       Wapi ambao [...]

Usiache Kufanya Hili Hata Mara Moja , Isije Ikageuka Kuwa Tabia Yako.Usiache Kufanya Hili Hata Mara Moja , Isije Ikageuka Kuwa Tabia Yako.

Ndugu yangu,Wanasema mafanikio ni tabia. Kama kuna tabia za kufanikiwa basi kuna tabia za kushindwa pia. Ili uweze kujenga tabia yoyote unahitaji wa wastani wa siku 66. Baadhi ya tabia na watu huenda mpaka zaidi ya siku 200. Tabia za mafanikio ni kama;[ ] Kuchukua wajibu maisha yako[ ] Kukweka [...]

Umekalia Nini?Umekalia Nini?

Kuna ombaomba mmoja aliyejulikana kukuaa eneo fulani kwa muda mrefu huku akiwaomba watu wamsaidie. Katika eneo hilo alitumia boksi ambalo lilikuwa limefungwa na mfuniko kukalia. Licha ya kukalia boksi hilo kwa miaka mingi lakini hakuwahi kulifungua boksi hilo. Siku moja alikuja mtu mmoja msamalia akitaka kumpa fedha. Ombaomba huyo alimchangamkia [...]

Kama Hujafanya Maamuzi Basi Jibu Ni Hapana .Kama Hujafanya Maamuzi Basi Jibu Ni Hapana .

Ndugu chochote kilichotokea maishani mwako ni matokeo ya maamuzi yako. Kama umepata matokeo mazuri basi hongera kwa kufanya maamuzi sahihi. Kuna wakati umetakiwa ufanye maamuzi kwa kusema ndiyo au hapana, lakini hukufanya hivyo. Lakini hata wakati huo ulifanya maamuzi. Na maamuzi yako yalikuwa hapana. Maamuzi ni kitu kigumu ndiyo maana [...]

Fanya Kazi Ya Masaa 8 Kwa Saa 1.Fanya Kazi Ya Masaa 8 Kwa Saa 1.

Kama ufanisi wa kazi ungekuwa unapimwa kwa kiasi ambacho upo ‘busy’ basi leo u ungekuwa umefanikiwa sana. Bahati mbaya ufanisi wako unapimwa kwa matokeo unayoyazalisha. Umekuwa ukiamka ukiwa na nguvu lakini unarudi jioni ukiwa umechoka sana. Ukilinganisha nguvu na muda uliowekeza kisha matokeo uliyoyapata ni vitu viwili tofauti. Mara nyingi [...]