Utofauti Wa Waliofanikiwa Na Walioshindwa Unaanzia Hapa.Utofauti Wa Waliofanikiwa Na Walioshindwa Unaanzia Hapa.

Watu wengi wamekuwa wakiamini kuwa waliofanikiwa wana vitu vya ziada kuliko walioshindwa. Wanaamini kuwa waliofanikiwa wana uwezo wa ziada ukilinganisha na walioshindwa. Hivyo masikini wanaoamini kuwa matajiri wana vitu vya upendeleo ndani yao ukilinganisha na wao. Kama ni kwenye mashindano ya mbio basi waliofanikiwa na walioshindwa wote walianzia Kwenye mstari [...]

Muda Unaenda! Badili Wachezaji Ili Upate Matokeo.Muda Unaenda! Badili Wachezaji Ili Upate Matokeo.

Kila timu inayoshiriki mechi ya mpira wa miguu huwa na wachezaji kumi na moja ndani ya uwanja. Lakini pia kila timu huwa na wachezaji kadhaa nje ya uwanja kwa ajili ya kufanyia mabadiliko. Pale mchezaji mmoja uwanjani anapoumia na kushindwa kuendelea na mchezo, kocha hulazimika kumtoa na kumuingiza mchezaji aliyekuwa [...]

Hii Ndiyo Njia Ya Kumtafuta Wewe Halisi.Hii Ndiyo Njia Ya Kumtafuta Wewe Halisi.

Ili mbuzi aweze kufahamika kuwa ni tofauti na kondoo hana budi kutoka nje ya kundi la kondoo na kukaa pembeni. Vinginevyo itakuwa ni vigumu sana yeye kuishi tabia za kimbuzi badala yake ataishia kufuatisha anachokifanya kondoo. Ili samaki aweze kuogelea na kuendelea kufurahia maisha yake hana budi kutokumuonea wivu wala [...]

Ni Mpaka Umtangulie Huyu Ndipo Utakuwa Mshindi Wa Maisha Yako.Ni Mpaka Umtangulie Huyu Ndipo Utakuwa Mshindi Wa Maisha Yako.

Kwenye mashindano ya magari, gari litakaloibuka mshindi ni lile litakalokuwa limetangulia mengine yote kwenye kituo cha mwisho. Na kama ikitokeo magari yote yamefika kwenye kituo cha mwisho kwa wakati mmoja, basi kutakuwa hakuna mshindi. Maisha yako hapa duniani ni kama mshindano ya magari. Ili uweze kufanikiwa lazima uwe mbele ya [...]

Hii Ndiyo Dhambi Kubwa Uliyoitendea Chumbani Kwako.Hii Ndiyo Dhambi Kubwa Uliyoitendea Chumbani Kwako.

Ukitenda kosa linalohusisha watu wawili, unaweza kujitetea kuwa jirani yako ndiye aliyekushawishi. Lakini unapotenda dhambi ungali upo pekeyako hakuna mtu wa kumsingizia kuwa ndiye aliyesababisha. Kuna dhambi moja ambayo umekuwa ukiitenda pekeyako tena chumbani kwako. Hii ndiyo iliyokubakisha chumbani kwako mpaka sasa. Kwa sababu hujatoka nje ya chumba chako, watu [...]

Hiki Ndicho Kitakachokupandisha Kileleni Mwa Mafanikio Yako Kwa Haraka.Hiki Ndicho Kitakachokupandisha Kileleni Mwa Mafanikio Yako Kwa Haraka.

Kitakachomfanya mtoto awahi kutembea ni kasi ile ya kujaribu kutembea licha ya maumivu anayoyapata kila anapoanguka. Kitakachomfanya mtu ajue haraka kuendesha baiskeli ni kujaribu kuning’iniza miguu juu ya baiskeli licha ya kujua kuna nfasi ya kuanguka na kuchubuka. Kuna kitu kimoja ambacho huwezi ukakiepuka kama unataka kujua kitu, nacho ni [...]