Ndipo Kikombe Cha Mafanikio Yako Kitakapofurika …..Ndipo Kikombe Cha Mafanikio Yako Kitakapofurika …..

[  ] Je umekuwa unajiuliza unawezaje kujenga mafanikio makubwa maishani mwako? [  ] Basi jibu ni kuwa mafanikio hayo yapo kwenye jitihada ndogo usizozichukua na matokeo madogo unayoyadharau. [  ] Kuwa na ndoto kubwa lakini pia hatua za kuchukua kila siku hata kama ndogo. [  ] Unataka kuingiza kipato cha [...]

Huko Ndiko Kilipo Unachokitafuta!Huko Ndiko Kilipo Unachokitafuta!

[  ] Kabla macho yako hayajaona ghorofa kumbwa lililopo mbele ya macho yako, lilikuwa kwanza ndani ya akili ya mchora ramani. [  ] Kabla hata hamjafika mnakoelekea, akili ya dreva anayeendesha gari hilo ilishafika mwisho mwa safari [  ] Kabla hujafanikiwa kuruka mfereji uliokuwa mbele yako tayari akili yako ilishakuwa [...]

Maeneo Matano(5) Muhimu Ya Kuwekeza Katika Maisha Yako.Maeneo Matano(5) Muhimu Ya Kuwekeza Katika Maisha Yako.

1. MAARIFA: Lisha akili yako maarifa sahihi. Huu ni mwanzo wa kuchukua hatua sahihi.  Soma vitabu,  hudhuria semina, soma makala… 2. AFYA: Fanya mazoezi, kula vizuri kisha lala (wastani wa masaa 6). 3. KAZI: Weka kazi kubwa kwenye kile sahihi  unachokipenda. Kazi ni rafiki wa kweli hatakusaliti, ukiambatana naye atakupa [...]

Je Ungetamani Upendelewe Kufanikiwa? Inawezekana, Siri Ipo Hapa…Je Ungetamani Upendelewe Kufanikiwa? Inawezekana, Siri Ipo Hapa…

Kama itatokea kuna nafasi ya kupendelewa kufanikiwa kila mtu angetamani aipate nafasi hiyo. Kuna watu ambao mmekuwa pamoja kwa muda mrefu hata umri ukiendana, lakini wamepiga hatua kubwa za mafanikio mpaka unahisi wamependelewa. Najua unatamani sana kupata mafanikio makubwa kwenye kila eneo la maisha yako. Inawezekana muda unaenda lakini huoni [...]

Jifunze Kwa Tai Ufanikiwe Sana.Jifunze Kwa Tai Ufanikiwe Sana.

TABIA 6/7; Hutengeneza kiota chenye miiba ili kuwafunza watoto wao. [  ] Tai hutengeneza kiota chao sehemu ya juu sana ya miti ambako maadui hawafiki kirahisi. [  ] Kiota chao huanza na matawi makubwa chini, miiba, vimti vidogo, majani laini, manyoya kisha miiba pembeni. [  ] Ndipo jike hutaga mayai [...]