Jinsi Unavyoweza Kutumia Kanuni Ya Tatu Ya Mwendo Ya Newton Kuboresha Miasha Yako .Jinsi Unavyoweza Kutumia Kanuni Ya Tatu Ya Mwendo Ya Newton Kuboresha Miasha Yako .

Isaac Newton ni miongoni mwa wanasayansi nguli waliowahi kutokea hapa dunia. Mwanasayansi huyu atakumbukwa sana kwa mchango mkubwa wa tafiti zake kwenye mwendo na nguvu. Moja ya sheria za mwendo alizozigundua ni sheria ya tatu ya mwendo ya Newton inayosema “To every action there is ana equal anda opposite reaction” [...]

Kama Kweli Unayapenda Maisha Yako Hutaacha Kufanya Jambo Hili.Kama Kweli Unayapenda Maisha Yako Hutaacha Kufanya Jambo Hili.

Maisha ya binadamu hapa duniani yamebebwa na muda wa uhai wake. Hii ina maana kuwa mtu anaweza kufanya kile anachotamani kukifanya hapa duniani kwenye kipindi cha uhai wake tu. Baada ya kufa hawezi kufanya jambo lolote licha ya dunia kuendelea kuwepo. Benjamini Franklin alisema “Do you love life? Then do [...]

Siri Ya Mafanikio Iliyojificha Kwenye Kuamka Mapema.Siri Ya Mafanikio Iliyojificha Kwenye Kuamka Mapema.

Moja ya nidhamu ambayo imekuwa changamoto kwa watu wengi ni kuwahi kuamka. Usingizi umekuwa mtamu kwa watu wengi kunapokaribia kucha na hivyo wengi kushindwa kuwahi kuamka. Inapofika saa kumi au saa kumi na moja alfajiri, watu ndiyo huvuta shuka vizuri ili waweze kumalizia usingizi wao. Lakini moja ya tabia ambayo [...]

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuiyeyusha Hofu Yako Na Kuendelea Na Safari.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuiyeyusha Hofu Yako Na Kuendelea Na Safari.

Hofu imekuwa ni ukuta mkubwa sana unaojengwa kati ya mtu na mafanikio yake. Watu wengi wameshindwa kuchukua hatua sahihi kwa sababu ya hofu kusimama mbele yao. Kwa sababu ya kikwazo hiki kikubwa cha mafanikio, watu wametamani hofu ingekuwa kiumbe hai, ili siku moja ife. Kwa bahati mbaya hofu ipo kila [...]

Nini Kilichobaki  Baada Ya Kusahau Kile Ulichojifunza Shuleni?Nini Kilichobaki  Baada Ya Kusahau Kile Ulichojifunza Shuleni?

Maisha yako huendeshwa na kile unachokifahamu. Unachokifahamu ndiyo  kinakuwa mwongozo wa wewe ufanye nini. Mawazo anayoyawaza mtu pia hutegemea zaidi na kile kilichotawala fikra zake. Kadhalika maamuzi anayoyatoa mtu hutegemea na kile anachokifahamu kwa kuona kitaleta matokeo bora. Kumbe hatua za maisha ulizofikia ni matokeo ya kile unachokifahamu na kukitumia [...]