Mfahamu Leo Adui Namba Moja Anayekwamisha Mafanikio Yako.Mfahamu Leo Adui Namba Moja Anayekwamisha Mafanikio Yako.

Mikwamo mingi ya maisha ambayo umekuwa ukikutana nayo imetokana na adui yako ambaye amekuwa akifanya bidii kuhakikisha hupigi hatua. Kwa kipindi kirefu kuna maisha ambayo umeyatamani uyafikie lakini kila unapoanza adui huyo anakuja na kukupiga vita na umeishia njiani. Mara nyingine umefikiri kuwa jirani yako ndiye anayekupiga vita usipige hatua [...]

Ni Wakati Wa Kuweka Nguvu Kubwa Kabla Ya Kupata Mafanikio Makubwa.Ni Wakati Wa Kuweka Nguvu Kubwa Kabla Ya Kupata Mafanikio Makubwa.

Kabla ya ndege kuruka hukusanya nguvu kubwa kwa rubani kuiendesha kwa kasi kubwa ardhini kisha kuipaisha. Kabla gari halijashika kasi huwashwa na kuwekwa gia kubwa ili kuanza kujenga kupatia kasi kubwa. Kuna jambo kubwa ulilolianzisha au unatarajia kulifanya ili kuweza kupiga hatua. Matokeo makubwa unayoyaona, huwa yana mwanzo wake. Mwanzo [...]

Huwezi Kuonyesha Ufundi Wako Wa Kuogelea Kwa Kuogelea Mavumbini Rudi Majini.Huwezi Kuonyesha Ufundi Wako Wa Kuogelea Kwa Kuogelea Mavumbini Rudi Majini.

Ukiongelea ufundi wa kuogelea majini huwezi kuacha kumtaja samaki. Hii ni kutokana na uwezo wake mkubwa wa kutembea majini na kuepuka vikwazo vyote vilivyomo. Licha ya uwezo huo mkubwa alionao samaki lakini hawezi kuuonyesha mavumbini.  Ukimchukua samaki na kumweka nchi kazu unaweza kusema sio yeye yule anayeogelea kwa ufundi mkubwa [...]

Kuna mahali pa kuanzia, mahali penyewe ni hapo ulipo.Kuna mahali pa kuanzia, mahali penyewe ni hapo ulipo.

Licha ya watu kuwa na ndoto kubwa ya kuishi maisha fulani, lakini wam Wamekuwa ekuwa wakiainisha sababu za kwa nini hawawezi kuishi ndoto hizo. na sababu ambazo zinatengenezwa na kuona ni za ukweli kabisa. Sababu mojawapo imekuwa kutokujua wapi kwa kuanzia. Imekuwa rahisi kukutana na mtu akakuambia hajui aanzie wapi [...]

Fikra Zako Zisizoonekana Kwa Macho Ndizo Zilizojenga Maisha Yako Yanayoonekana Kwa MachoFikra Zako Zisizoonekana Kwa Macho Ndizo Zilizojenga Maisha Yako Yanayoonekana Kwa Macho

Kuna vitu tunavyoviona kwa macho na kuishia kuvishangaa, kuvipenda au kuvichukia. Vitu hivyo ni pamoja n vile ulivyovizalisha mwenyewe. Licha ya kuhusika kuvizalisha lakini wewe mwenyewe umekuwa mstari wa mbele kuvishangaa, kuvichukia na mara nyingine kuvidharau. Umeenda mbali zaidi kwa kuwalalamikia watu wengine  bila kujua wewe ndiye uliyevizalisha. Vitu vyote [...]