
Pata Mwongozo Wa Kuweka Na Kutimiza Malengo YakoPata Mwongozo Wa Kuweka Na Kutimiza Malengo Yako
Umekuwa ni utamaduni wa kila mtu mwenye kiu ya kupata mafanikio kuweka malengo ili aweze kufikia kile anachokitamani. Mwanzoni mwa mwaka ndiyo muda ambao watu wengi huwa moto sana kuweka malengo ya kutimiza katika mwaka huo. Lakini hamasa hiyo huwa kama ukuni unaowaka peke yake ambao ni ndani ya muda [...]

Unachokifanya Sasa Ndicho Kinachoamua Mafanikio Ya Maisha Yako.Unachokifanya Sasa Ndicho Kinachoamua Mafanikio Ya Maisha Yako.
Ukiwa katikati ya jangwa, ukiangalia nyuma hutaona mwanzo wake, ukiangalia mbele hutaona mwisho wake. Sehemu pekee unayoweza kuiona ni pale utakapokuwepo. Maamuzi yako ya kitu gani ukifanye yatategemea vile unavyoviona kwa muda ule. Maisha yako yamegawanyika sehemu tatu; yaliyopita, yaliyopo na yajayo. Mambo uliyoyafanya wakati uliopita ndiyo yaliyokupa maisha ya [...]

Muda Hautakuwa Na Subira Kwako Katika Mambo Haya Matano(5) Unayoyafanya.Muda Hautakuwa Na Subira Kwako Katika Mambo Haya Matano(5) Unayoyafanya.
Siku ulipozaliwa tu, ulipewa kibali cha kuishi hapa duniani. Sambamba na hilo, muda wako wa kuishi hapa duniani ulianza kupungua kwenye akaunti yako ya muda. Kila sekunde unapovuta na kuitoa pumzi, muda wako wa kuishi hapa duniani unazidi kupungua. Kila mtu amepewa muda maalumu wa kuishi hapa duniani ili aweze [...]