Kwa Nini Umechoka Ungali Huna Matokeo?Kwa Nini Umechoka Ungali Huna Matokeo?
Mtoto mdogo huamka asubuhi akiwa hajui siku hiyo atafanya nini. Hivyo akiachiwa ataanza kugusa na kufanya chochote kitakachokuja mbele yake. Mpaka jioni inafika, mlezi akiulizwa mtoto amefanya nini leo, ni vigumu kueleza ni kitu gani hasa mtoto amefanya. Hii ni kwa sababu ya uwingi wa vitu ambavyo mtoto anavifanya tangu [...]
Kikuze hicho ulichonachoKikuze hicho ulichonacho
Kama umeisimama na ukanyoosha mkono wako, utagusa kimo fulani kifupi. Lakini ukiweka nguvu kwenye miguu na kuruka juu hata kama ni kidogo tu, mikono yako itagusa juu zaidi ya pale ulipokuwa umegusa hali ukiwa umesimama tu. Ukitafuta ngazi na kutumia kupanda, utafika mbali zaidi na kugusa juu zaidi ya pale [...]
Kwa nini uendelee kufanya licha ya kushindwa mara nyingi?Kwa nini uendelee kufanya licha ya kushindwa mara nyingi?
Licha ya kila mtu kutamani kuwa na mafanikio, lakini ni wachache sana wameweza kupata mafanikio makubwa katika maisha yao. Hii inaashiria kuwa safari ya mafanikio siyo rahisi, ina kupasa kuvuka mabonde na milima. Ina changamoto ambazo inabidi uzifanyie kazi ndipo uweze kufika mwisho wenye mafanikio. Wanaofanikiwa wana tabia ambazo zinawafanya [...]
Maswali yatakayokupeleka kwenye mafanikio makubwaMaswali yatakayokupeleka kwenye mafanikio makubwa
Licha ya mafanikio kuwa na maana tofauti kwa watu mbalimbali, lakini kila mtu ana tamaa ya kuwa na mafanikio makubwa. Kila mtu amekuwa akitamani vitu fulani vitokee katika maisha yake. Tamaa ya mafanikio hayo inaweza kuwa kupata mali,fedha, elimu au umaarufu fulani. Mafanaikio makubwa anayoyatamani mtu yanapatikana kwa kujiuliza maswali [...]
Tone La Mvua Lisilokoma Hujaza PipaTone La Mvua Lisilokoma Hujaza Pipa
Ni rahisi sana kulidharau tone la maji ya mvua kwa kuona si kitu. Kama kuna sehemu nyumba inavuja na tone moja linadondoka kila wakati unaweza ukadharau ujazo huo na kuuamua kukinga kikombe tu. Lakini kama mvua itaendelea kunyesha bila kukoma, hata ukikinga pipa litajaa. Jambo kubwa litakaloamua pipa hilo kujaa, [...]
Wewe Ni Samaki, Usimwigilizie Ndege KurukaWewe Ni Samaki, Usimwigilizie Ndege Kuruka
Jambo moja ambalo lingemhakikishia samaki kushindwa maisha yake ni kutaka kuwa ndege. Kwa kutamani kuwa ndege, samaki angehangaika kutoka kwenye makazi yake ili aweze kuruka. Pia hata angefanikiwa kuruka, angefanikiwa kwa kiasi kidogo sana ukilinganisha na ndege. Kadhalika kitendo cha kuacha makazi yake, ingehatarisha maisha yake. Ukisikia samaki ameacha kuogelea [...]
Misuli Huimarika Kwa MaumivuMisuli Huimarika Kwa Maumivu
Tofali bichi lililotengeneza kwa udongo huanza kuimarika na kuvutia macho baada ya kupita na kuvumilia kwenye moto wa tanuru. Kadhalika dhahabu huonekana safi na kung’aa baada ya kupitishwa kwenye moto mkali. Mtu anayefanya mazoezi makali, misuli yake huonekana imara baada ya kuvumilia maumivu makali wakati wa mazoezi. Misuli, tofali bichi [...]
Mtambue Leo Aliyekupangia Kiasi Cha Mafanikio UnayoyapataMtambue Leo Aliyekupangia Kiasi Cha Mafanikio Unayoyapata
Je unaridhika na kiasi cha mafanikio unayoyapata? Je unajua ni nani aliyekupangia kiasi hicho? Je umekuwa ukimlaumu nani kwa mafanikio kidogo unayoyapata? Inawezekana na wewe ni miongoni mwa watu ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakitafuta mtu au watu wa kuwalaumu na kuwalalamikia kwa mafanikio madogo waliyoendelea kuyapata. Umeilaumu serikali, wazazi [...]